Sunday, May 28, 2017

WAREMBO WANGU WAPENDEZA

 Warembo wangu Kulwa, Monji na Dotto wakiwa wamependeza kwa jezi ya Tanzania nyumbani kwao Kivule Dar es Salaam, siku walipokuwa wakijiandaa kuangalia mechi ya Serengeti Boys na Niger Fainali za kufuzu Kombe la Dunia Under 17

No comments:

Post a Comment