Sunday, March 26, 2023

HONGERA MWANANGU LUGHANO KUMALIZA KIDATO CHA SITA

Mimi na Lusekelo tukimlisha keki Lughano Mwaikenda ikiwa ni ishara ya kumpongeza  kumaliza kidato cha 6 katika mahafali ya 7 ya Shule ya Sekondari ST Peter Claver eneo la Ihumwa, Dodoma Machi 18, 2023.

 

KUMBUKUMBU MUHIMU