Lusekelo Mwaikenda (aliyevaa tai nyekundu) akishiriki ibada ya Krismasi katika Kanisa la KKKT Mtaa wa Kivule, Ukonga Dar es Salaam 2016.
Familia ya Mwaikenda na Spera Patrick ikiwa katika picha ya pamoja baada ya kuhudhuria ibada ya Krismasi katika kanisa hilo Desemba 25,2016. Mstari wa mbele kutoka kushoto ni Dotto Mwaikenda (4), Tusekile Mwakenda (6), Kulwa Mwaikenda (4) na Jerry Patrick. Nyuma kutoka kushoto ni Mke wa Spear Patrick, Regina, Spear Patrick, Fatuma na Lusekelo Mwaikenda (17).

No comments:
Post a Comment