NIKIWA NA RAIS MWINYI IKULU PAMOJA NA KAMATI YA SAIDIA TAIFA STARS ISHINDE 1994
Nikiwa katika picha ya pamoja na Rais Ali Hassan Mwinyi, Ikulu, Dar es Salaam 1994 pamoja na Kamati ya Saidia Taifa Stars Ishinde ambapi ilifanikiwa kutwaa Kombe la Ubingwa wa Afrika Mashariki Nairobi, Kenya mwaka huo.
No comments:
Post a Comment