Tuesday, November 29, 2016

HABARI KUTOKA TELEVISHENI

Samwel Kamugisha samwel.kamugisha@push.co.tz

9:22 PM (15 hours ago)
to mrokiminfoamsalawibbymrishonewsroomfgodwin94nancyothmanmichuziissamichuzitripsufianimafitob.infoinfonkoromormwaikendamealbertgsengocathbert39infobtlPRIDEOFTANZANIAhluswagadjchoka84swahilidiariespresident
SIMU.TV: Rais Edgar Lungu wa Zambia amesema anatarajia kuona reli ya TAZARA inafufuka na kuendelea kufanya kazi kama ilivyokuwa hapo awali; https://youtu.be/clvJEep4uyw
SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Kibaha Asunta Mshama, amefanya ziara ya kushtukiza katika kituo cha afya Kibaha na kukuta mazingira mabovu ya usafi/; https://youtu.be/EkfhX6tpxHM
SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Dar Es salaam Paul Makonda, amewataka viongozi wa mkoa huo kuwatumikia wananchi wao kama walivyoahidi kipindi cha uchaguzi; https://youtu.be/P4Dli0cRqd4
SIMU.TV: Waziri wa Ardhi William Lukuvi amesema serikali haitosita kumfuta kazi kiongozi yeyote wa ardhi atakayehusika kuhujumu maendeleo ya mwananchi; https://youtu.be/U3Fg9O9DdN8

SIMU.TV: Serikali kupitia Naibu waziri wa Elimu Mhandisi Stella Manyanya, imetolea ufafanuzi juu ya utaratibu unaojulikana wa kujiunga chuo kikuu baada ya kuenea kwa taarifa za uongo; https://youtu.be/tzsPSA53MNk
SIMU.TV: Katibu mkuu wa Wizara wa Habari na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel amesema serikali itaendelea kulinda rasilimali za shirika la utanagzaji nchini; https://youtu.be/CEbKyGaXLeY  

SIMU.TV: Hali ya usafirishaji wa korosho katika Bandari ya Mtwara kwa sasa iko katika hali ya kuridhisha baada ya kuwepo kwa utaratibu mzuri wa usafirishaji; https://youtu.be/Z6zpc4iSgUQ
SIMU.TV: Sekta ya kilimo iko nyuma katika kuchangia pato la Taifa huku sababu kuu ikitajwa kuwa ni kupungua kwa watanzania wanaojihusisha na kilimo; https://youtu.be/Ifk8cTJHSTE
SIMU.TV: Baraza la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi limewataka viongozi wa mikoa ya kusini kuongeza ushiriki wa wananchi katika miradi yao; https://youtu.be/1shuV0PjwFA

SIMU.TV: Bei ya vitunguu katika soko la Ilala jijini Dar Es salaam imepanda mpaka kufikia laki moja ukilinganisha na bei ya awali ya shilingi elfu sitini; https://youtu.be/NSLAp02PSNk

SIMU.TV: Serikali imesema inaandaa mfumo ambao utaiwezesha sekta ya michezo nchini kujiendesha na kujitegemea yenyewe bila kuombaomba; https://youtu.be/1RSkJvR3Sa8
SIMU.TV: Waziri wa Habari Nape Nnauye amewataka wasanii nchini kuamua kufanya kazi kwa kutumia vipaji vyao na kuachana na maisha ya kuombaomba; https://youtu.be/409Bu6ZSVPY
SIMU.TV: Mashindano ya majeshi yaayoendelea wilayani Songea yamezidi kuchukua sura mpya na leo hii tumefanikiwa kukusanyia matokeo ya mashindano ya Riadha; https://youtu.be/57vCTvtVSTM

No comments:

Post a Comment