Familia ya Richard Mwaikenda ikisherehekea sikukuu ya kuzaliwa Yesu Kristo, Krismas nyumbani kwake Misitu,Kivule, Ukonga jijini Dar es Salaam Desemba 25, 2023.
Hafla hiyo ilihudhuriwa na wanawe, wajukuu kutoka kwa ndugu zake wa jiji hilo.
Namshukuru Mungu kufanikisha hafla hiyo iliyofanyika baada ya kushiriki Ibada ya Krismas katika Kanisa la KKKT, Usharika wa Kivule na siku ya pili watoto na wazazi wao walienda kuvinjari kwenye kiota cha Chibuba ambapo watoto kwa wakubwa walifurahia kuogelea kwenye bwawa na kupata vinywaji mbalimbali.
No comments:
Post a Comment