Sunday, April 16, 2017

FAMILIA YA MWAIKENDA YASHIRIKI IBADA YA PASAKA KKKT KIVULE

 Mwinjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Mtaa wa Kivule, Ukonga, Dar es Salaam, Michael Mgaya akipiga picha na familia ya Richard Mwaikenda pamoja na watoto wa majirani zake baada ya Ibada ya Pasaka leo.Kutoka kushoto ni Ezelina, Dotto, Kulwa, Monji, Tusekile na Fatma Nasoro

 Mchungaji wa Mungubariki Mauki akipiga picha na familia ya Richard Mwaikenda pamoja na watoto wa majirani zake baada ya Ibada ya Pasaka leo.

No comments:

Post a Comment