SANNU ambaye awali aliwahi KUCHEZEA TIMU ya soka ya Ligi Kuu.ya JKT OLJORO alipatwa.na.masahibu akiwa katika kozi yaani.mafunzo ya kijeshi na hatimaye kukimbizwa KUPATA matibabu.katika Hospitali hiyo na hatimaye kufariki DUNIA saa 9 alfajiri Machi 16.
MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI
Wazazi wake wote wawili walitangulia MBELE ya haki, ameacha mtoto Nancy, dada zake, Bupe, Bahati, Tumpe, Anneth, Tuli na wadogo zake wa kiume Andrea, Paulo, Sauli na Aswile.