Tuesday, July 25, 2017

ENZI ZANGU

 Marafiki zangu Obeid Mwangasa (kushoto) na Nyakasagani Masenza (kulia)
Nikiwa na wapigapicha wenzangu kwenye mechi Uwanja wa Taifa wa zamani. Kutoka kushoto ni  Emmanuel Ndege, Deus Mhagale na Nyakasagani Masenza

MAMBO YA JAMBO LEO JULAI 2017





NIKIWA NA WANAHABARI WENZANGU WA JAMBO LEO JULAI 2017, QUALITY CENTRE

 Hapa nipo waandishi wenzangu na Jemah Makamba, Dalila Sharif pamoja na  Leon Bahati Gazeti la Jambo Leo
 Nikiwa na Dalila Sharif

NIKIWA NA KATIBU MKUU WA CCM, ABDULRAHMAN KINANA PAMOJA NA NAPE NNAUYE KWENYE MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA 2016




NIKIWA NA RAIS JOSEPH KABILA WA DRC CONGO IKULU APRI; 10,2016




NIKIWA KAZINI UWANJA WA TAIFA 2015



NIKIWA NA MKUU WA MKOA WA KAGERA JOHN MONGELA 2015

Nikiwa na School Mate wangu Azania ambaye alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera na sasa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela wakati wa ziara  za Katibu Mkuu wa CCM, Kinana ya kuimarisha uhai wa chama wilayani Biharamulo

NIKIWA NA RAIS JOHN MAGUFULI 2015