Wednesday, September 20, 2017

WANANGU WAKIWA WAMEPOZI HOME KIVULE

 Pacha wangu Catherine (Kulwa) na Karen  (Doto) wakiwa home Kivule, Dar
Mwanangu Tuse 9kulia) akiwa na Johari mtoto wa mamake mdogo Maria

Tuesday, July 25, 2017

ENZI ZANGU

 Marafiki zangu Obeid Mwangasa (kushoto) na Nyakasagani Masenza (kulia)
Nikiwa na wapigapicha wenzangu kwenye mechi Uwanja wa Taifa wa zamani. Kutoka kushoto ni  Emmanuel Ndege, Deus Mhagale na Nyakasagani Masenza

MAMBO YA JAMBO LEO JULAI 2017

NIKIWA NA WANAHABARI WENZANGU WA JAMBO LEO JULAI 2017, QUALITY CENTRE

 Hapa nipo waandishi wenzangu na Jemah Makamba, Dalila Sharif pamoja na  Leon Bahati Gazeti la Jambo Leo
 Nikiwa na Dalila Sharif

NIKIWA NA KATIBU MKUU WA CCM, ABDULRAHMAN KINANA PAMOJA NA NAPE NNAUYE KWENYE MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA 2016

NIKIWA NA RAIS JOSEPH KABILA WA DRC CONGO IKULU APRI; 10,2016

NIKIWA KAZINI UWANJA WA TAIFA 2015

NIKIWA NA MKUU WA MKOA WA KAGERA JOHN MONGELA 2015

Nikiwa na School Mate wangu Azania ambaye alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera na sasa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela wakati wa ziara  za Katibu Mkuu wa CCM, Kinana ya kuimarisha uhai wa chama wilayani Biharamulo

NIKIWA NA RAIS JOHN MAGUFULI 2015

Sunday, June 4, 2017

WAREMBO WANGU WAKIWA KIWANJA CHA MATANUZI CHA SEKENKE, JIMBO LA UKONGA

 Warembo wangu pacha Kulwa (Catherine), kushoto, na Kulwa (Caren), rafiki yao Monji na dada yao Tusekile

 Waliosimama nyuma ni Fatuma Nasoro, Mamake Monji na Ezelina

 Ezelina, Fatuma na Tuse
 Monji akiwa kwenye pozi
 Tuse akiwa katika pozi la nguvu
 Lina akiwa katika muonekana anaoupenda
 Fatuma na Dotto

 Kulwaaa

Sunday, May 28, 2017

HABA NA HABA DANCE FESTIVAL ILIVYOBAMBA KATIKA UKUMBI WA NAFASI ARTS SPACE

--
 Wasanii wa kikundi cha Sanaa za ngoma na sanaa za maonyesho Msimamo Group wakitumbuiza katika Tamasha la Haba na Haba lilifanyika katika Ukumbi wa Nafasi Art Space Mikocheni
 Wasanii wa kikundi cha Sanaa za ngoma na sanaa za maonyesho Msimamo Group wakitumbuiza katika Tamasha la Haba na Haba lilifanyika katika Ukumbi wa Nafasi Art Space Mikocheni
 Wapigaji wa ngoma wa kikundi cha Msimamo Art Groupwakifanya yao katika Tamasha la Haba na Haba
 Msani Baraka Wesley kutoka nchini Rwanda akionyesha mchezo wake wa Contemporary Dance  wadau mbalimbali waliofika katika Tamasha la Haba na Haba Nafasi Art Mikocheni
 Wasanii wa mchezo wa jukwaani kutoka kundi la Haba na haba wakitumbuiza mchezo uliokwenda kwa jina la There is no Feture Word for Fiture in Swahili?
 Wasanii wa mchezo wa jukwaani kutoka kundi la Haba na haba wakitumbuiza mchezo uliokwenda kwa jina la There is no Feture Word for Fiture in Swahili?
 Wasanii wa kundi la Nantea Dance Company  Tanzania wakionyesh mchezo wao jukwaani
 Wasanii wa kundi la Haba na haba wakionyesha mchezo wa WD Forest Tanzania katika Tamasha la Haba na Haba
watu mbalimbali wakijumuika katika kucheza ngoma za asili katika Tamasha la Haba na haba